Kuitwa kwenye Usahili:Orodha ya
vijana wa kidato cha Sita na Nne waliochaguliwa
Jeshi la Polisi Tanzania linawaita kwenye usaili
vijana waliomaliza kidato cha nne mwaka 2013 na kidato cha sita mwaka
2014 ambao wamechaguliwa kufanya usaili kabla ya kujiunga na Jeshi la
Polisi.
Usaili utafanyika katika miji ya makao makuu ya mikoa
Tanzania Bara Kwa tarehe zilizooneshwa kwenye jedwali hapa chini:
NA
|
MIKOA
|
KITUO CHA USAILI
|
TAREHE ZA USAILI
|
MUDA WA USAILI
|
1
|
TANGA
|
OFISI YA RPC TANGA
|
18-21 /09/2014
|
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
|
2
|
PWANI
|
OFISI YA RPC PWANI
|
23-26 /09/2014
|
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
|
3
|
DSM ZONE
|
OFISI YA RPC ILALA,KINONDONI,TEMEKE
|
28-01 /10/2014
|
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
|
4
|
MTWARA
|
OFISI YA RPC MTWARA
|
03-06 /10/2014
|
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
|
5
|
LINDI
|
OFISI YA RPC LINDI
|
08-11 /10/2014
|
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
|
6
|
SIMIYU
|
OFISI YA RPC SIMIYU
|
18-21 /09/2014
|
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
|
7
|
SHINYANGA
|
OFISI YA RPC SHINYANGA
|
23-26 /09/2014
|
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
|
8
|
TABORA
|
OFISI YA RPC TABORA
|
28-01 /10/2014
|
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
|
9
|
KATAVI
|
OFISI YA RPC KATAVI
|
03-06 /10/2014
|
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
|
10
|
RUKWA
|
OFISI YA RPC RUKWA
|
08-11 /10/2014
|
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
|
11
|
KILIMANJARO
|
OFISI YA RPC KILIMANJARO
|
18-21 /09/2014
|
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
|
12
|
ARUSHA
|
OFISI YA RPC ARUSHA
|
23-26 /09/2014
|
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
|
13
|
MANYARA
|
OFISI YA RPC MANAYARA
|
28-01 /10/2014
|
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
|
14
|
SINGIDA
|
OFISI YA RPC SINGIDA
|
03-06 /10/2014
|
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
|
15
|
DODOMA
|
OFISI YA RPC DODMA
|
08-11 /10/2014
|
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
|
16
|
KIGOMA
|
OFISI YA RPC KIGOMA
|
18-21 /09/2014
|
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
|
17
|
MWANZA
|
OFISI YA RPC MWANZA
|
23-26 /09/2014
|
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
|
18
|
MARA
|
OFISI YA RPC MARA
|
28-01 /10/2014
|
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
|
19
|
GEITA
|
OFISI YA RPC GEITA
|
03-06 /10/2014
|
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
|
20
|
KAGERA
|
OFISI YA RPC KAGERA
|
08-11 /10/2014
|
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
|
21
|
MOROGORO
|
OFISI YA RPC MOROGORO
|
18-21 /09/2014
|
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
|
22
|
IRINGA
|
OFISI YA RPC IRINGA
|
23-26 /09/2014
|
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
|
23
|
MBEYA
|
OFISI YA RPC MBEYA
|
28-01 /10/2014
|
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
|
24
|
NJOMBE
|
OFISI YA RPC NJOMBE
|
03-06 /10/2014
|
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
|
25
|
RUVUMA
|
OFISI YA RPC RUVUMA
|
08-11 /09/2014
|
08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
|
Muhimu:
(i) Mwombaji anaruhusiwa kufanya usaili kwenye kituo
chochote cha usaili kilicho karibu naye kulingana na tarehe zinavyoonesha
kwenye jedwali hapo juu ili mradi awe amejiridhisha kuwa ni miongoni mwa
walioitwa kwenye usaili. Jeshi la Polisi halitashughulikia usaili wa mtu ambaye
hayupo kwenye orodha ya walioitwa kwenye usaili.
(ii)
Mwombaji aliyeitwa kwenye usaili aje na vyeti vyote vya masomo [(Academic
Certificate(s)/Results slip(s) & Leaving certificate(s)] na nakala halisi
ya cheti cha kuzaliwa (Original Birth certificate)]. Hati ya kiapo cha kuzaliwa
haitakubalika.
(iii)
Mwombaji awe na namba ya simu itakayotumika kumjulisha endapo atachaguliwa..
(iv)
Kila mwombaji aliyeitwa kwenye usaili atajigharamia usafiri, chakula na malazi
kwa muda wote wa zoezi la usaili. Pia waombaji waje na kalamu za wino kwa ajili
ya usaili wa kuandika.
Ni
muhimu sana kwa kila mwombaji kuzingatia muda wa kuanza usaili.
PAKUA ORODHA YA MAJINA
KUITWA KWENYE USAILI JESHI LA POLISI - 2014/2015
Reviewed by Unknown
on
9:38:00 AM
Rating: