TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI SERIKALINI , APRILI 2014

Kumb. Na EA.7/96/01/G/09                                                                       01 Aprili, 2014


TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma).

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 482 za kazi kwa waajiri mbalimbali kama ifuatavyo:

MASHARTI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE.

i.       Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania.

ii.       Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa.

iii.      Waombaji ambao tayari ni Watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa Waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.

iv.       Nafasi ya kazi inayoombwa iandikwe katika kichwa cha habari cha barua na juu ya bahasha, kutozingatiwa hili kutasababisha maombi ya kazi kuwa batili.

v.       Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.




vi.    Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, nakala za vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika. Viambatanisho hivyo vibanwe sawa sawa kuondoa uwezekano wa kudondoka au kupotea.

-       Shahada ya juu/Shahada/Stashahada ya juu/Stashahada/Astashahada.

-       Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI

-       Cheti cha Kompyuta

-       Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards)

-       Picha moja “Passport size” ya hivi karibuni iandikwe jina kwa nyuma.

vii.       “Transcripts”, “Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.

viii.      Waombaji wawe na umri usiozidi miaka 45.

ix.       Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.

x.       Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika utumishi wa umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010.

xi.       Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.

xii.       Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 15 Aprili, 2014

xiii.      Aidha, uwasilishaji wa barua kwa mkono katika ofisi za Sekretarieti ya Ajira HAURUHUSIWI.

xiv.        Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU na NECTA).

xv.       Maombi yanaweza kuandikwa kwa Lugha ya Kiswahili au Kiingereza na yatumwe kupitia posta kwa anuani ifuatayo;-

Katibu,                                              AU    Secretary,
Sekretarieti ya Ajira katika                       Public Service Recruitment
Utumishi wa Umma,                                  Secretariat,
SLP.63100,                                                   P.O.Box 63100

Dar es Salaam.                                          Dar es Salaam.

2





1.0     AFISA TAWALA DARAJA LA II (ADMINISTRATIVE OFFICER GRADE II) – (NAFASI 1)

Nafasi hii ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Afrika Mashariki.

1.1     MAJUKUMU YA KAZI

·         Kusajili vizazi, vifo na ndoa na kutoa hati za viapo.

·         Kuweka kumbukumbu za matukio muhimu,

·         Kuwapokea na kuwahoji wakimbizi wanaowasili,

·         Kuweka kumbukumbu za Wakimbizi

·         Kutunza na kugawa vifaa vya wakimbizi katika makazi.

·         Kuainisha, kuchambua na kushauri kuhusu matatizo ya wakimbizi.

·         Kusimamia nidhamu ya wakimbizi.

·         Kusimamia utekelezaji wa Sheria, Sera, Kanuni na Taratibu mbalimbali Serikalini kutegemeana mahali alipo.

·         Kusimamia kazi za utawala na uendeshaji katika ofisi za Serikali.

·         Kutoa vitambulisho kwa wakimbizi.

1.2     SIFA ZA MWOMBAJI

·         Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza kutoka Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali katika fani zifuatazo:- Utawala, Sheria (baada ya internship), na Menejimenti ya Umma

·         Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta

1.3     MSHAHARA

Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS D kwa mwezi.

2.0  MCHUMI DARAJA LA II (ECONOMIST GRADE II) – (NAFASI 23)

Nafasi hizi ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Afrika Mashariki, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Tume ya Mipango na Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia .

2.1      MAJUKUMU YA KAZI

·         Kuhudumia kamati mbalimbali za Bunge (Kamati za mahesabu ya Serikali, Kamati ya mahesabu ya mashirika ya Umma)

·         Kukusanya takwimu na taarifa mbalimbali za kiuchumi kwa ajili ya uchambuzi na uandaaji wa sera na mipango ya kiuchumi na kijamii

·         Kufanya utafiti na uchambuzi wa sera na vigezo vya kiuchumi jumla

·         Kufanya utafiti na kubainisha fursa zilizopo katika sekta husika

3



·         Kukusanya taarifa na takwimu zinazohitajika katika kubainisha vipaumbele vya ustawi namaendeleo ya jamii.

·         Kutayarisha na kusambaza takwimu na taarifa za kiuchumi kwa wadau

2.2  SIFA ZA MWOMBAJI

Kuajiriwa wenye shahada ya kwanza ambao wamejiimarisha (major) katika mojawapo ya fani zifuatazo;

·         Uchumi (Economics)

·         Takwimu (Statistics )

·         Sayansi ya Uchumi Kilimo (BSc Agriculture Economics & Agribusness) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Chuo Kikuu cha Sokoine au Chuo kingine chochote kinachotambuliwa na Serikali na wenye ujuzi wa kutumia kompyuta

2.3  MSHAHARA

Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS D kwa mwezi.

3.0  MCHUMI DARAJA LA II (ECONOMIST GRADE II) – (NAFASI 1)

Nafasi hii ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Fedha

3.1      MAJUKUMU YA KAZI

·         Kuhudumia kamati mbalimbali za Bunge (Kamati za mahesabu ya Serikali, Kamati ya mahesabu ya mashirika ya Umma)

·         Kukusanya takwimu na taarifa mbalimbali za kiuchumi kwa ajili ya uchambuzi na uandaaji wa sera na mipango ya kiuchumi na kijamii

·         Kufanya utafiti na uchambuzi wa sera na vigezo vya kiuchumi jumla

·         Kufanya utafiti na kubainisha fursa zilizopo katika sekta husika

·         Kukusanya taarifa na takwimu zinazohitajika katika kubainisha vipaumbele vya ustawi namaendeleo ya jamii.

·         Kutayarisha na kusambaza takwimu na taarifa za kiuchumi kwa wadau

3.2  SIFA ZA MWOMBAJI

Kuajiriwa wenye shahada ya Uzamili ambao wamejiimarisha (major) katika mojawapo ya fani ya Uchumi (Economics) au Fedha (Finance) kutoka Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na wenye ujuzi wa kutumia kompyuta










4



3.3 MSHAHARA

Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS D kwa mwezi.

4.0   AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA II (COMMUNITY DEVELOPMENT OFFICER GRADE II) – (NAFASI 2)

Nafasi hii ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Afrika Mashariki na Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Tume ya Mipango.

4.1  MAJUKUMU YA KAZI

·         Kuandaa na kupendekeza mipango na mikakakati ya kubadili fikra za watu ili waweze kuwa na mawazo ya maendeleo sawia na Sera za Serikali na wakati uliopo

·         Kupitia mbinu shirikishi kuwezesha jamii kuanzisha miradi ya kijamii kama vile:-

-  Usafi wa mazingira

-  Ujenzi wa nyumba bora

-  Ujenzi wa shule

-  Ujenzi wa zahanati

-  Kuchimba au kuzifanyia matengenezo barabara hasa za vijijini

-  Ujenzi wa majosho

-  Uchimbaji wa visima vifupi

-  Utengenezaji wa malambo

·         Kuhamasisha matumizi endelevu ya mazingira

·         Kusambaza na kuhamasisha matumizi ya teknolojia sahihi kama vile uvunaji wa maji ya mvua, majiko sanifu, matumizi ya mikokoteni

·         Kuhamasisha watu kutumia huduma za mafunzo ya Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi

·         Kuwasadia wanachi vijijini kuandaa maandiko (Project Write ups) ya kuombea fedha za kuendesha miradi yao

·         Kuhamasisha, kuandaa na kutoa elimu kwa umma kuhusu uraia na Utawala bora

·         Kukusanya, kutunza, kutafsiri na kusambaza takwimu na kumbukumbu muhimu kwa ajili ya matumizi ya jamii

·         Kuwezesha wananchi kupambana na mila zenye madhara kwa afya za wanchi hasa wanawake na watoto wa kike, kuenea kwa virusi vya UKIMWI na magonjwa ya mlipuko.

·         Kuelimisha viongozi wa Serikali za Vijiji, Dini na Mashirika yasiyo ya Kiserikali kuhusu Sera mbalimbali za Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto na kutumia Sera hizo

·         Kutoa taarifa za hali ya jamii kwa ngazi mbalimbali


5





4.2  SIFA ZA MWOMBAJI

·         Kuajiriwa wahitimu wa Shahada au Stashahada ya Juu ya Maendeleo ya Jamii kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali katika fani zifuatazo:-
§    Maendeleo ya Jamii (Community Development)

§    Elimu ya Jamii (Sociology)

§    Masomo ya Maendeleo (Development Studies)

§    Mipango na Usimamizi wa Miradi (Project Planning and Management)

§    Maendeleo na Jinsia (Gender and Development)

4.3  MSHAHARA

Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS D kwa mwezi.

5.0  AFISA HABARI II – (NAFASI 3)

Nafasi hii ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Afrika Mashariki na Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Tume ya Mipango.

5.1  MAJUKUMU YA KAZI

·         Kukusanya na kuandika habari.

·         Kupiga picha.

·         Kuandaa picha za maonyesho.

·         Kuandaa majarida na mabango (Posters).

·         Kukusanya takwimu mbalimbali.

·         Kuandaa majarida na vipeperushi.

·         Kuhifadhi picha na kuhudumia maktaba na marejeo.



5.2  SIFA ZA MWOMBAJI

·         Awe na Shahada ya Kwanza au Stashahada ya Juu ya Uandishi wa Habari au sifa inayolingana nayo kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.

5.3 MSHAHARA

Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS D kwa mwezi.



6.0  MKAGUZI HESABU WA NDANI II (INTERNAL AUDITOR II) – (NAFASI 3)

Nafasi hii ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Afrika Mashariki na Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Tume ya Mipango.

6.1  MAJUKUMU YA KAZI

6


·         Kufanya Ukaguzi wa hesabu katika Idara

·         Kusahihisha na kuidhinisha ripoti za ukaguzi

·         Kusahihisha na kuidhinisha hoja za Ukaguzi wa ndani

·         Kufanya kazi zingine atakazopangiwa.



6.2  SIFA ZA MWOMBAJI

·         Kuajiri wahitimu wa kidato cha sita (VI) wenye cheti cha kati cha uhasibu (intermediate stage) kinachotolewa na NBAA au sifa zinazolingana na hizo.

·         AU

·         Wenye shahada/Stashahada ya juu ya uhasibu kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali.

6.3 MSHAHARA

·         Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS D kwa mwezi.

7.0     MHASIBU DARAJA LA II (ACCOUNTANT GRADE II) – (NAFASI 2)

Nafasi hizi ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Afrika Mashariki na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

7.1 MAJUKUMU YA KAZI

·         Kuidhinisha hati za malipo.

·         Kuandika taarifa ya mapato na matumizi ya mwezi.

·         Kusimamia Wahasibu Wasaidizi katika kazi zao za kila siku.

·         Kusimamia shughuli za uhasibu kwenye Kitengo cha Idara.

·         Kuandika taarifa ya maduhuli.

7.2 SIFA ZA MWOMBAJI

·         Kuajiri wahitimu wa kidato cha sita (VI) wenye cheti cha kati cha uhasibu (intermediate stage) kinachotolewa na NBAA au sifa zinazolingana na hizo.

AU

·         Wenye shahada/Stashahada ya juu ya uhasibu kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali.

7.3 MSHAHARA

Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS D kwa mwezi.


8.0     MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA III – (NAFASI 100)

Nafasi hizi ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii.


7


8.1 MAJUKUMU YA KAZI

·         Kufanya doria ndani na nje ya maeneo ya hifadhi

·         Kudhibiti vitendo vya ujangili nje na ndani ya hifadhi

·         Kusimamia shughuli za uwindaji wa kitalii na utalii wa picha

·         Kulinda binadamu na mali zake dhidi ya Wanyamapori

·         Kukusanya na kulinda Nyara za Serikali

·         Kufanya usafi na ulinzi wa kambi

·         Kusimamia uingiaji na utokaji wa watu na mali zao kwenye hifadhi

·         Kukusanya na kutunza vielelezo vya ushahidi na kutoa ushahidi Mahakamani

·         Kukagua wanyamapori kwenye mashamba na mazizi ya wanyamapori na kukusanya takwimu zao

·         Kusimamia taratibu za kusafirisha wanyamapori hai na nyara nje na ndani ya Nchi

·         Kudhibiti wanyamapori waharibifu

·         Kudhibiti moto kwenye hifadhi

·         Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa zinazoendana na taaluma yake

8.2 SIFA ZA MWOMBAJI

·         Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV au kidato cha VI wenye Astashahada ya Uhifadhi Wanyamapori (Technician Certificate in Wildlife Management) kutoka Chuo cha Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi au chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

8.3 MSHAHARA

Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS B2 kwa mwezi.


9.0     MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA III – (NAFASI 327)

Nafasi hizi ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii.

9.1 MAJUKUMU YA KAZI

·         Kufanya doria ndani na nje ya maeneo ya hifadhi

·         Kudhibiti vitendo vya ujangili nje na ndani ya hifadhi

·         Kusimamia shughuli za uwindaji wa kitalii na utalii wa picha

·         Kulinda binadamu na mali zake dhidi ya Wanyamapori

·         Kukusanya na kulinda Nyara za Serikali

·         Kufanya usafi na ulinzi wa kambi

·         Kusimamia uingiaji na utokaji wa watu na mali zao kwenye hifadhi

·         Kukusanya na kutunza vielelezo vya ushahidi na kutoa ushahidi Mahakamani

·         Kukagua wanyamapori kwenye mashamba na mazizi ya wanyamapori na kukusanya takwimu zao

8



·         Kusimamia taratibu za kusafirisha wanyamapori hai na nyara nje na ndani ya Nchi

·         Kudhibiti wanyamapori waharibifu

·         Kudhibiti moto kwenye hifadhi

·         Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa zinazoendana na taaluma yake


9.2 SIFA ZA MWOMBAJI

·         Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV au kidato cha VI wenye Astashahada ya Awali ya Uhifadhi wa Wanyamapori (Basic Technician Certificate in Wildlife Management) kutoka Chuo cha Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi au chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

9.3 MSHAHARA

Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS B1 kwa mwezi.


10.0  MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA II – (NAFASI 10)

Nafasi hizi ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii.

10.1    MAJUKUMU YA KAZI

·         Kufanya doria ndani na nje ya maeneo ya hifadhi

·         Kudhibiti vitendo vya ujangili nje na ndani ya hifadhi

·         kusimamia uwindaji wa kitalii na utalii wa picha

·         kulinda Nyara za Serikali

·         Kusimamia usafirishaji wa wanyamapori na nyara nje na ndani ya Nchi

·         Kusimamia matumizi ya magari ya doria

·         Kukagua wanyamapori kwenye mashamba na mazizi ya wanyamapori na kutunza takwimu zao

·         Kuratibu uingiaji wa wageni katika Mapori ya Akiba

·         Kudhibiti moto katika hifadhi

·         Kukusanya na kutunza vielelezo vya ushahidi na kutoa ushahidi Mahakamani

·         Kukusanya takwimu za wanyama na mimea kwenye hifadhi

·         Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa zinazoendana na taaluma yake

10.2
SIFA ZA MWOMBAJI
·
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV au kidato cha VI wenye Stashahada ya

Uhifadhi  Wanyamapori  (Diploma  in  Wildlife  Management)  kutoka  Chuo  cha

Usimamizi Wanyamapori Mweka au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
10.3
MSHAHARA

Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS C kwa mwezi.

9




11.0  DEREVA DARAJA LA II (DRIVER II) – (NAFASI 2)

Nafasi hizi ni kwa ajili ya Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Tume ya Mipango.

11.1    MAJUKUMU YA KAZI

·         Kuendesha magari ya abiria, magari madogo na malori

·         Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali nzuri wakati wote, na kufanya uchunguzi wa gari kabla na baada ya safari ili kugundua ubovu unaohitaji matengenezo,

·         Kufanya matengenezo madogo madogo katika gari,

·         Kutunza na kuandika daftari la safari “Log-book” kwa safari zote.

11.2  SIFA ZA MWOMBAJI

·         Kuajiriwa wenye Cheti cha Mtihani wa Kidato cha IV, Wenye Leseni daraja la “C” ya uendeshaji pamoja na uzoefu wa kuendesha magari kwa muda usiopungua miaka mitatu bila kusababisha ajali na wenye Cheti cha Majaribio ya ufundi Daraja la II (Trade test II).

11.3    MSHAHARA

Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGOS.A kwa mwezi.


12.0  AFISA USAFIRISHAJI DARAJA LA II (TRANSPORT OFFICER GRADE II ) – (NAFASI 1)

Nafasi hii ni kwa ajili ya Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Tume ya Mipango.

12.1 MAJUKUMU YA KAZI

·         Kutayarisha gharama za uendeshaji wa usafiri kwa ajili ya kusaidia kutoa maamuzi.

·         Kuhakikisha kuwa takwimu na kumbukumbu zinazohusu vyombo vya usafiri pamoja na mitandao yake zinatunzwa vyema na kwa usahihi. Kuandaa takwimu zinazohusu maendeleo ya ukuaji wa sekta ya usafirishaji, na kuwasilisha kwa watumiaji ndani na nje ya nchi.

·         Kukusanya takwimu za usafirishaji nchini.

·         Kukadiria na kushauri juu ya utendaji wa miradi mbalimnbali ya sekta ya usafirishaji.

·         Kutekeleza majukumu mengine yanayohusu sekta ya usafirishaji

12.2 SIFA ZA MWOMBAJI

·         Kuajiriwa wenye Stashahada ya kawaida ya Usafirishaji kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

10





12.3 MSHAHARA

Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS C kwa mwezi

13.0 AFISA MAZINGIRA DARAJA LA II – (NAFASI 1)

Nafasi hii ni kwa ajili ya Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Tume ya Mipango.

13.1 MAJUKUMU YA KAZI

·         Kukusanya Takwimu na Taarifa mbalimbali zinazohusu Usimamizi na Hifadhi ya Mazingira.

·         Kutoa (disseminate) elimu ya Hifadhi ya Mazingira kwa Wadau mbalimbali.

·         Kushiriki katika kuandaa Mpango wa kazi na bajeti.

·         Kushiriki katika tafiti zinazohusu Usimamizi na Hifadhi ya Mazingira.

·         Kufuatilia utekelezaji wa Sera na Sheria zinazohusiana na Usimamizi wa Mazingira.

·         Kufuatilia na Kuainisha Maeneo yanayopaswa kuhifadhiwa.

·         Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa kulingana na uwezo na taaluma yake.

13.2 SIFA ZA MWOMBAJI.

·         Kuajiriwa wahitimu wenye Shahada ya kwanza ya Sayansi/Sanaa yenye mwelekeo wa Usimamizi na Hifadhi ya Mazingira katika moja ya fani zifuatazo,

‘Geography and Environmental Studies, Aquatic Environmental Science and Conservation, Environmental Science and Management, Environmental

Laboratory Science Technology, Environmental Planning and Management’ au sifa zinazolingana na hizo kutoka Vyuo vinavyotambulika na Serikali.

13.3 MSHAHARA

Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS D kwa mwezi.

14.0 MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU (REGISTRY ASSISTANT) – (NAFASI 1)

Nafasi hii ni kwa ajili ya Mkurugenzi Mtendaji Mfuko wa Pembejeo za Kilimo na Mifugo.

14.1 MAJUKUMU YA KAZI

·         Kusimamia usahihi (accuracy) wa kumbukumbu.

·         Kugawa kazi na kusimamia kazi zote za masjala.

·         Kuangalia barua zote zinazoingia, kutoka na kuweka kwenye majalada husika.

·         Kutunza diary za (Bring up) na kuhakikisha zinafanyiwa kazi kwa wakati muafaka.

·         Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa kulingana na uwezo na taaluma yake.



11



14.2  SIFA ZA MWOMBAJI.

·  Kuajiriwa wahitimu wenye Stashahada ya Kumbukumbu (Diploma in Records

Management) kutoka Vyuo vinavyotambulika na Serikali.

·  Awe na uzoefu wa miaka Sita (6) katika fani hii.

14.3  MSHAHARA

Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Taasisi yaani GSS 5 kwa mwezi.


15.0  AFISA MTENDAJI WA KATA DARAJA LA II (WARD EXECUTIVE OFFICER GRADE II) – (NAFASI 5)

Nafasi hizi ni kwa ajili ya Halmashauri.

MAJUKUMU YA KAZI

·         Atakuwa Mtendaji Mkuu wa Kata na kiungo cha Uongozi kwa Idara zote katika kata na atashughulikia masuala yote ya kata

·         Atakuwa Mhamasishaji mkuu wa Umma katika mikakati mbalimbal.i ya uzalishaji, mali, kuondoa njaa na Umasikini.

·         Atakuwa ni Katibu wa kamati ya maendeleo ya kata.

·         Ataratibu na kusimamia upangaji wa shughuli za maendeleo ya kata, vijiji na Mtaa.

·         Atatafsiri sera na kusimamia utekelezaji wa sheria ndogondogo katika Kata yake.Atamsaidia Mkurugenzi Kuratibu na kusimamia shughuli za Uchaguzi katika Kata.

·         Kumsaidia na kumwakilisha Mkurugenzi katika kusimamia maendeleo ya eneo lake.

·         Kusimamia utendaji kazi wa wataalamu na watendaji wengine katikangazi ya Kata.

·         Kuratibu na kuandaa taarifa za utekelezaji na kuziwasilisha kwa mkurugenzi na nakala kwa Katibu Tarafa.

·         Atakuwa mwenyekiti katika vikao vinavyowahusisha wataalamu na watendaji wa vjiji, na NGO’S katika kata yake.

·         Atakuwa Msimamizi na mratibu wa takwimu zote zinazokusanywa katika vijiji, vitongoji, na kata yake.

15.1 SIFA ZA MWOMBAJI.

·         Kuajiriwa wenye Shahada ya Sanaa yenye mwelekeo wa Sayansi ya Jamii (Social Sciences) Utawala, (Public Administration and Local Gorvernment), Sheria au Sifa nyingine inayolingana na hizo kutoka Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.




15.2 MSHAHARA


Kwa kuzingatia viwango vya Serikali yaani ngazi ya Mshahara TGS D. kwa mwezi.

Ref. Na EA.7/96/01/G/08                                                              01stApril, 2014

VACANCIES ANNOUNCEMENT

On behalf ofTanzania Food and Nutrition Centre (TFNC), Tea Board of Tanzania (TBT), Occupational Safety and Health Authority (OSHA), College of Business Education (CBE), Tanzania Institute of Education (TIE) and The Institute of Rural Development Planning (IRDP), Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanians to fill 8 vacant posts in the above Public Institutions.

NB: GENERAL CONDITIONS

i.        All applicants must be Citizens of Tanzania and not above 45 years old, however, should also observe the age limit for each position where indicated.

ii.       Applicants must attach an up-to-date current Curriculum Vitae (CV) having reliable contact, postal address, e-mail and telephone numbers.

iii.     Applicants should apply on the strength of the information given in this advertisement.

iv.     The title of the position and institution applied for should be written in the subject of the application letter and marked on the envelope; short of which will make the application invalid.

v.       Applicants must attach their detailed relevant certified copies of academic certificates:

-       Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates.

-       Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma transcripts.

-       Form IV and Form VI National Examination Certificates.

-       Computer Certificate

-       Professional certificates from respective boards

-       One recent passport size picture and birth certificate.

1

vi.     FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS ARE STRICTLY NOT ACCEPTED

vii.    Testimonials, Partial transcripts and results slips will not be accepted.

viii.   Presentation of forged academic certificates and other information in the CV will necessitate to legal action

ix.     Applicants for senior positions currently employed in the public service should route their application letters through their respective employers.

x.       Applicants for entry levels currently employed in the Public Service should not apply, they have to adhere to Government Circular Na. CAC. 45/257/01/D/140 dated 30th November, 2010.

xi.     Applicants who have/were retired from the Public Service for whatever reason should not apply.

xii.    Applicants should indicate three reputable referees with their reliable contacts.

xiii.   Certificates from foreign examination bodies for ordinary or advanced level education should be certified by The National Examination Council of Tanzania (NECTA)

xiv.   Certificates from foreign Universities should be verified by The Tanzania Commission for Universities (TCU)

xv.    Deadline for application is 15th  April, 2014 at 3:30 p.m

xvi.   Applicants with special needs/case (disability) are supposed to indicate

xvii. Women are highly encouraged to apply

xviii.  Only short listed candidates will be informed on a date for interview

xix.   Application letters should be written in Swahili or English



APPLICATION LETTERS SHOULD BE POSTED TO THE FOLLOWING ADDRESS. HAND DELIVERY IS NOT ACCEPTABLE:

Secretary
OR
Katibu
Public Service Recruitment

SekretarietiyaAjirakatika
Secretariat,

UtumishiwaUmma
P. O. Box 63100

S. L. P 63100,
DAR ES SALAAM.

DAR ES SALAAM.





2

1.0       TANZANIA FOOD AND NUTRITION CENTRE – TFNC

Tanzania Food and Nutrition Centre (TFNC) is a Government Institution under the Ministry of Health and Social Welfare. The Centre is responsible for spreading nutrition activities in the country with the objectives of controlling and reducing all forms of malnutrition.

1.1         SENIOR RESEARCH OFFICER I, SOCIOLOGY - 1 POST
1.2         DUTIES AND RESPONSIBILITIES
·         Design social anthropological  approaches to nutrition research and interventions

·         Participate in the formulation of policies and strategies dealing with nutrition and gender mainstreaming in nutrition programs and projects;

·         Participate in monitoring and evaluation of nutrition projects progress and impact;

·         Participate in the co-ordination of institutional and sectoral research activities;

·         Participate in providing  consultancy services on sociological aspects;

·         Participate in designing social anthropological approaches to nutrition research and interventions;

·         Participate in data collection, analysis and interpretation;

·         Participate in preparation of project progress reports;

·         Conduct in-service training for in-house and other service providers;

·         Identify and analyze sociological problems related to nutrition;

·         Participate in developing research proposals;

·         Prepare regular progress reports;

·         Participate in monitoring and evaluation of project implementation;

·         Perform any other duties assigned.

1.2.1  QUALIFICATION AND EXPERIENCE

·         Master’s Degree in Sociology from a recognized institution with at least ten (10) years of research work experience in a reputable organization and at least four (4) publications after attaining Master’s DegreeSalary Scale will be PRSS 9.

OR

·         Master’s Degree in Sociology from a recognized institution with at least ten (12) years of research work experience in a reputable organization and at least four (5) publications after attaining Master’s DegreeSalary Scale will be PRSS 10.

1.2.2  REMUNERATION

·         Attractive remuneration package in accordance with the Institution’s Salary Scale PRSS

9/10

1.3         SENIOR RESEARCH OFFICER I, NUTRITION -1 POST

1.3.1  DUTIES AND RESPONSIBILITIES
·         Prepare project proposals, budget and action plans;

·         Monitor and evaluate project progress and impact;

3

·         Carry out research and surveys;

·         Prepare regular project reports

·         Coordinate research activities

·         Provide consultancy services in nutrition

·         Conduct nutritional interventions;

·         Prepare project progress reports

·         Conduct in-service training for in house and other service providers

·         Participate in planning nutritional interventions;

·         Participate in developing research proposals;

·         Perform any other duties assigned.

1.3.2  QUALIFICATION AND EXPERIENCE

·         Master’s Degree in Human Nutrition, Home Economics (Food and Nutrition), Public Health or related fields, from a recognized institution with at least ten (10) years of research work experience in a reputable organization and at least four (4) publications after attaining Master’s DegreeSalary Scale will be PRSS 9.

OR

·         Master’s Degree in Human Nutrition, Home Economics (Food and Nutrition), Public

Health or related fields, from a recognized institution with at least ten (12) years of research work experience in a reputable organization and at least four (5) publications after attaining Master’s DegreeSalary Scale will be PRSS 10.


1.3.3  REMUNERATION

·         Attractive remuneration package in accordance with the Institution’s Salary Scale PRSS

9/10

2.1       OCCUPATIONAL SAFETY AND HEALTH AUTHORITY - OSHA

Occupational Safety and Health Authority (OSHA) is a Government Executive Agency Established under the Executive Agencies Act No. 30 of 1997. Its main function is to promote a good, sound and a healthy working environment by enforcing the Occupational Safety and Health Act. No.5 of 2003 through inspection of work places to detect hazards which can affect the health of workers, conducting medical examination to workers, providing education and conducting training in Occupational Safety and Health. The ultimate goal is to have a healthy worker at a healthy work environment so as to increase productivity.

OSHA is hereby inviting applications from qualified Tanzanian to fill the following posts;

2.1         MEDICAL OFFICER II - 1 POST
2.1.1  DUTIES AND RESPONSIBILITIES

·         Take part in specific occupational health programmes for both workers and management

·         Provide input for occupational health surveys and researches e.g by preparing articles on Occupational Safety and Health.

4

·         Provide inputs for Business plan, strategic plan on Occupational medicine issues

·         Provide input to Public Relation Office on occupational medicine issues to be delivered to media, Government agencies, workers and management

·         Interpret scientific data collected during investigations and recommend appropriate control methods

·         Ensure compliance with set standards and guideline in occupational health services at workplaces

·         Provide effective measures to protect those who are vulnerable such as disabled persons and pregnant or nursing women at workplaces.

·         Carry out health examinations and health surveillance of workers to establish and maintain database on health status of workers in different workplace settings for use in occupational health management

·         Conduct risk assessments and general inspections at workplaces and identify work conditions that contribute to the overall ill health of workers and suggest improvement measure by finding root causes

·         Participate in assessment of workers disability as a result of occupational illnesses and injuries for the purpose of worker compensation and or rehabilitate programmes

·         Provide advice on workers rehabilitation programmes for workers with work related problems such as disabilities to regain their normal health status

·         Investigate and report on occupational accidents and occupational diseases

·         Monitor and detect occupational disease or conditions with regard to prevalence in known and unknown activities

·         Conduct follow up inspections to ensure corrective measures have been implemented

·         Performing any other related duties as may be assigned by the Head (Occupational Medicine)

2.1.2
QUALIFICATIONS AND EXPERIENCE
·
Bachelor Degree in Medicine or equivalent qualification from a recognized institution.
2.1.3
REMUNERATION

·         Attractive remuneration package in accordance with the Institution’s Salary Scale OSHA

SCALE – 7.1.

3.1       COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION - CBE

The College of Business Education is established by Act of Parliament No. 31 of 1965. College of Business Education is a training Government Executive Agency operating ‘semi’ autonomously and commercially in providing education in Accountancy, Procurement & Supplies Management and other business related disciplines.

The College of Business Education (CBE) invites applicants from suitably qualified Tanzanian citizens to fill the following vacant posts.



5

3.1         BURSAR - 1 POST (DAR ES SALAAM CAMPUS)
3.1.1  DUTIES AND RESPONSIBILITIES

·         Directs implementation of accounting function by ensuring correction, classification, recording and reconciliation of accounting data.

·         Prepares financial statements before they are audited.

·         Prepares estimates of Income and Expenditure.

·         Implements directives on financial matters.

·         Performs any other related duties as may be assigned by the supervisor.

3.1.2
QUALIFICATIONS AND EXPERIENCE
·
CPA (T) qualifications with working experience of eight (8) years in the accounting field.

He must be registered by NBAA as an Authorized Accountant.
3.1.3
REMUNERATION
·         Attractive  remuneration  package  in  accordance  with  the  Institution’s  Salary  Scale

SalaryPGSS 20.

3.2         COMPUTER /LAB TECHNICIAN II - 1 POST
3.2.1  DUTIES AND RESPONSIBILITIES

·         Install, configure, test, maintain, monitor, and troubleshoot end user networked peripheral devices, workstation hardware, and networking hardware products.

·         Liaise with, and provide support and training to staff and end users on computer operation issues.

·         Develop and maintain an inventory of keyboards, hard drives, printers, modems, scanners, monitors, and other peripheral devices.

·         Receive and respond to incoming calls, e-mails, or pages regarding hardware and PC problems.

·         Conductresearch on various products of computer in support of its development and procurement efforts.

·         Prepare documents on instances of hardware repair, installation, failure, and removal.

·         Evaluate and recommend hardware products of PC for purchase.

·         Perform any other relevant duties assigned by Supervisor.


3.2.2
QUALIFICATIONS AND EXPERIENCE
·
Diploma in Computer Studies with proven knowledge of Windows/Linux servers and

should have knowledge of MS Office.
3.2.3
REMUNERATION



6


·         Attractive remuneration package in accordance with the Institution’s Salary Scale PGSS

6/7.


4.1       TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION - TIE

Tanzania Institute of Education is a public Non-university Institution of Higher Learning under the Ministry of Education and Vocational Training. The Institute was established by Act No.13 of 1975 (CAP 142 R.E.2002). The main functions of the Institute are; design and develop curricula for Pre-primary, Primary, Secondary and Teacher education levels; design and develop teaching and learning materials for the designated levels of education; To carry out in-service as well as pre-service training of teachers and other stakeholders for efficient and effective implementation of curricula; conduct research on education and use the findings to provide technical advice to the Government and other stakeholders with the objective of facilitating provision of quality education.

TIE invites suitably qualified Tanzanians to fill the following vacancy under the following terms and conditions:

4.1         ASSISTANT ACCOUNTANT – 1 POST
4.1.1  DUTIES AND RESPONSIBILITIES
·         Maintains accounts records;

·         Writes books of accounts and other accounting documents such as journals, petty cash books, ledgers, registers and vouchers;

·         Verifies accuracy of documents and records relating to payments, receipts and other transactions and makes necessary calculations and corrections;

·         Makes and checks entries in Ledgers at regular intervals;

·         Conducts bank reconciliation;

·           Prepares wage sheets and effects wage payments;

·         Conducts banking activities; and

·         Performs such other duties as may be assigned by immediate supervisor.

4.1.2
QUALIFICATIONS AND EXPERIENCE
·
Advanced Certificate of Secondary Education Examination (ACSEE) or Certificate of

Secondary Education Examination (CSEE) with Ordinary Diploma in Accountancy or

equivalent professional qualifications from a recognized institution plus at least one (1)

year of working experience in the relevant field.
4.1.3
REMUNERATION

·         Attractive remuneration package in accordance with the Institution’s Salary Scale PGSS

5- 6.


5.1       THE INSTITUTE OF RURAL DEVELOPMENT PLANNING - IRDP


7


The Institute of Rural Development Planning (IRDP) was established as a Corporate Body under the Act of Parliament No. 8 of 1980 as a Higher Learning Institute forproviding Training, Research and Consultancy services in the fields of Rural Development Planning.

The Institute now invites applications from qualified Tanzanians to fill the following vacant post.

5.1         ASSISTANT LECTURER IN ECONOMETRICS - 1 POST
5.1.1  DUTIES AND RESPONSIBILITIES
·         Teaches up to NTA level 8 (Bachelors Degree);

·         Prepares learning resources for tutorial exercises;

·         Conducts research, seminars and case studies;

·         Carries out consultancy and community services under supervision;

·         Supervises students’ academic projects;

·         Prepares module teaching manuals and

·         Performs any other duties as assigned by supervisor.

5.1.2     QUALIFICATIONS AND EXPERIENCE

·         Masters Degree inEconometricsor equivalent in the relevant field and Bachelor Degree inEconometricsor equivalent with First or Upper Second Division in the relevant field.

5.1.3     REMUNERATION
·   Attractive remuneration package in accordance with the Institution’s Salary Scale PHTS
8/9


TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI SERIKALINI , APRILI 2014 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI SERIKALINI , APRILI 2014 Reviewed by Unknown on 7:34:00 AM Rating: 5

JOBS CATEGORY

Tanzania Kenya NGO JOBS Uganda Best Jobs Consultancy Rwanda ICT JOBS Administrative United Nations Sudan Best Jobs Finance Health - Medical Engineering Ethiopia Education Agricultural Lecturer Human Resources Somalia Media Congo - Kinshasa Legal Jobs Bank Jobs Monitoring and Evaluation Mining World Vision Burundi Procurement African Barrick Gold Accountant Zambia Sales and Marketing US EMBASSY East African Community Mozambique Telecoms Research CARE International Save The Children Plan International Arusha Malawi South Sudan Oxfam Scholarships African Development Bank Finance and Administration SafariCom Aviation The Commonwealth American Embassy Sales Zanzibar Environmental Catholic Relief Services Dar es salaam USAID Operations FHI 360 UNDP Security World Bank Economist TradeMark East Africa Unicef Hospitality Managers International Rescue Committee (IRC) Restless Development Accounting Civil Engineers AMREF Morogoro Utumishi AfDB African Development Bank COOPI - Cooperazione Internazionale Driver - Logistics Path International Mwanza African Union Tigo Jobs Marketing Mbeya Teaching Au African Union PSI Population Services International Pwc PricewaterhouseCoopers East African Breweries North Mara Gold Mine ACTED Djibouti Malaria Consortium Bulyanhulu Gold Mine DFID Driver Buzwagi Gold Mine Jhpiego COMESA FINCA JOBS International Jobs Adeso Danish Refugee Council Kilimanjaro Nairobi Coca-Cola Handicap International Pact International Rio Tinto Solidarités International Tender EGPAF Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation Logistics Serengeti Breweries Ltd Nation Media Group Africare Norwegian Refugee Council Samaritan's Purse Chemonics International COUNTRY DIRECTOR ICAP of Columbia University InterShips Precision Air RwandAir Marie Stopes International (MSI) Serengeti Breweries Volunteer Climate Change IGAD Tetra Tech ARD Agriculture Jobs Dodoma Iringa One Acre Fund Project Management Clinton Health Access Initiative (CHAI Technoserve Twaweza East Africa ActionAid Lutheran World Federation SADC Secretariat Tanga Vso International ACDI/VOCA Halmashauri Agha Khan Kenya Commercial Bank World Agroforestry Centre Deloitte East Africa International Organization for Migration (IOM) COMESA Secretariat: Software Engineering Safety and Security Shinyanga Jobs Tanzania Breweries Pathfinder International World Health Organization KPMG TANROADS Tanzania Electric Supply Company British Council Futures Group KCB BANK UN-Habitat WFP World Food Programme Barclays GEITA GOLD MINING TANESCO Electrical Engineer Food and Agriculture Organization GOAL Mombasa Tabora WWF World Wide Fund for Nature Microsoft Tanzania Ports Authority East African Development Bank Family Health International (FHI) IBM EAST AFRICA IntraHealth International Mercy Corps SERIKALINI - GOVERNMENT OF TANZANIA AccessBank Community Development Jobs Data Base Management Google Africa ICAP - TZ KEMRI/CDC Program WaterAid Tanzania Auditor SNV International Stanbic Bank Amnesty Horn Relief Kampala Management Systems International (MSI) Standard Chartered Bank VETA Christian Aid DIAMOND TRUST BANK Helen Keller International Help Age Mtwara Uganda Telecom Airtel Africa Equity Bank Internships Marie Stopes TCRA Web Development B B C WORLD SERVICE Human Rights Kigali Makerere University Nile Basin Initiative Kenyatta University Kigoma Mzumbe University NSSF National Social Security Fund Nile Breweries Limited Tulawaka Gold Mine University of Nairobi kenya Airways Bank of Tanzania Graduates MTN Muhimbili National Hospital Nepad Partners in Health Room to Read SUMATRA UNWOMEN African Wildlife foundation (AWF) KEMRI Kagera Librarian MENTOR Initiative Trainee USAILI - INTERVIEW Uiversity of Nairobi WaterAid International icipe Project CAFOD - Catholic Agency for Overseas Development Egerton University EngenderHealth Goal Ireland Kenyan Banks Lake Victoria Basin Commission Peace Corps TANAPA TASAF Tanzania Social Action Fund Zanzibar University ACB AKIBA COMMERCIAL BANK AGRA Alliance for a Green Revolution in Africa Advans Bank Ethiopian Airlines Freedom House IITA International Institute of Tropical Agriculture Legal Moshi NMB BANK Resolute Tanzania Singida Uganda Uganda National Roads Authority University of Dar es salaam University of Dodoma British High Commission ChildFund EWURA FilmAid International NECTA TPDC Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) United States International University World Concern Aga Khan Foundation CBA Commercial Bank of Africa Ecomist Ernst and Young IUCN International Union for Conservation of Nature International Medical Corps Islamic Relief Kakira Sugar Musoma National Institute for Medical Research OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA Relief International TAA Tanzania Airports Authority Trócaire Uganda Revenue Authority VODACOM TANZANIA VSF Belgium Architects Hivos IFC International Finance Corporation Ifakara Health Institute Inoorero University International Commercial Bank Kenya Red Cross Society MADEREVA Medical Oil and Gas Pwani University College SOKOINE UNIVERSITY Tumaini University Water Engineering AWF African Wildlife Foundation Acacia Mining Accounts African Virtual University Altima Africa Ardhi University Bank of Uganda Business Development Concultancy Del Monte Kenya Embassies Kenya Airports Authority Lake Victoria South Water Services Board Mara National Bank of Commerce RECORDS MANAGEMENT JOBS RUKWA Ruvuma Search for Common Ground Songea TTCL Tanzania Telecommunications Company Limited Unilever War Child International Zinduka Afrika ACORD AKU ​Aga Khan University Africa Nazarene University Africa Rice Center (AfricaRice) Aga Khan Health Services CRDB BANK Commercial Bank of Africa Daraja Tanzania Engineers Registration Board (ERB) Fina Bank International Potato Center International Potato Center (CIP) Intrahealth Jomo Kenyatta University Kilimanjaro Christian Medical Centre Kyambogo University Lindi Jobs MCL Mwananchi Communications MUHAS-harvad Moi University NBC BANK National University of Rwanda Ngorongoro Conservation Area Authority Njombe Nuru International Nzoia sugar Company RTI International SUA SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE THE LAW SCHOOL OF TANZANIA TRA Tanzania Revenue Authority Tanzania Postal Bank The Foundation For Civil Society Udhamini wa Masomo Western Union AIR TANZANIA Action Against Hunger (ACF) Agricultural Society of Kenya BRALIRWA Bondo University College Caritas Comoros Concern Worldwide Conservation Jobs Consolidated Bank of Kenya DHL Express Ewaso Ngiro South River Basin Development Authority Geologist Gulf African Bank INSTITUTE OF ADULT EDUCATION Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology Kabale University Kabale University (KAB) Kenya Ports Authority KickStart International MORUWASA Morogoro Urban Water and Sanitation Authority MSH Management Sciences for Health Mumias Sugar Company Nairobi Hospital Nkumba University Rural Electrification Agency SOKINE UNIVERSITY SONGWE STAMIGOLD Stores TACAIDS TARURA TCU Tanzania Commission for Universities Tullow Oil World Lung Foundation (WLF) ALAF Limited Aga Khan Development Network (AKDN) Aga Khan Hospital Air Malawi American Refuge Committee BENKI YA POSTA - TPB BANK BTC Belgian Technical Cooperation Bhttp://www.blogger.com/img/blank.gifank of Tanzania Bioversity International CHF International Customer Service Jobs DANGOTE DIT DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY Danida Dar es Salaam Institute of Technology Daystar University ECOBANK ETDCO Electrical Transmission and Distribution Construction and Maintenance Company European Union IFM INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT INSURANCE JOBS - BIMA ITECH Internews® Network KUITWA KAZINI Kenya Accreditation Service Kenya Polytechnic University College Kilombero Sugar Company Kisii University College Kisumu Laboratory Jobs MSD MEDICAL STORES DEPARTMENT MSF Switzerland Management Sciences for Health Manyara Maseno University Ministry of State for Planning Muteesa 1 Royal University Médecins Sans Frontières NIDA National Identification Authority Narok University College OSHA Occupational safety and Health Authority Open Society Initiative for Eastern Africa (OSIEA) PA PAC PEPSI POLICE - POLISI Petroleum EngineerS RWANDA HOUSING AUTHORITY Seychelles Songas TBC TANZANIA BROADCASTING CORPORATION TBS TANZANIA BUREAU OF STANDARDS TFDA TANZANIA FOOD AND DRUGS AUTHORITY TIB - Tanzania Investment Bank Tanzania Mortagage Refinance Company Tanzania Teachers’ Union Transmara Sugar Company Tropical Pesticides Research Institute Tumba College of Technology Twiga Cement UNESCO UNOCHA Umma University University WRP Walter Reed Project ZANTEL ao uga
Powered by Blogger.